Sijui ni ukilaza ujinga au??
2022 alifungiwa
2020 alifungiwa
2019 alifungiwa
Tena kuna mechi kati ya Yanga na Azam aliwabeba Yanga akafungiwa
Acheni ujinga
Tanzania ni taifa linalochekesha mda huo huo linasikitisha sana yaani uko nchini kwako mgeni anakuletea vurugu na humfanyi chochote kile
Yanga kule congo mazembe wameloga waziwazi na mwishowe wakawafanyia vurugu mashabiki wa Yanga
Watu hawa hawa ndo uwategemee kwa mabadiliko ilihali...
Hizi timu mambo yake na washabiki wake ni kama imani ya dini. Hata uwaambie nini, mashabiki wa timu hizi wamelewa, na wamejaa ushabiki, na hawataki uwaulize kwa kwa nini wanazipenda timu hizo, huwa hawana sababu. Ni sawa na dini.
Pole Saidi Mtanda, mnyama akiwa mawindoni, kaa mbali
Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo.
Tuanzie hapa.
Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla.
Yanga imevuma sana huko nyuma...
Huu ndio upuuzi wa viongozi wa Simba, timu ikifanya vibaya wanaefukuzwa ni kocha mkuu, kocha wa makipa na kocha wa utimamu wa mwili.
Dunia kote hakuna kocha msaidizi wa kudumu, shida ya Simba ipo kwa viongozi ambao hawazingatii weledi.
Tatizo c kwamba yanga imeshuka kiwango, tatizo ninkuwa nchi yetu imeharibika na Sasa umeingia kwenye uchumi wa Kamali , ambapo vijana wengi sana wenye ajira na wasio na ajira wameingia kwenye biashara hiyo ya kamali na kubeti.
Nchi inakusanya mapato mengi sana kupitia kubeti, hivyo inapelekea...
Washabiki wa Simba hatufatilii kabisa ukweli na uhalisia wa timu.
Tunasubiri uchambuzi wa Wachambuzi bahasha na kuweka matarajio ya kipuuzi.
Nilifatilia usajili ni wa ovyo kabisa. Tumesajili wachezaji wawili tu wa kiwango cha simba na kurundika wa ovyo ovyo. Nimeposti sana takwimu za kila...
Kama kuna Mtu wa kupewa pongezi kwa kukua Soka la bongo basi namba moja ni Mohammed Dewji Mo.
Alijitaidi kuisuka simba vizuri na kuitambulisha soka letu kimataifa
Baada ya mo Wafate akima Azam media na wengine
Ila anavyoishiwa nguvu ya pesa kuifanya timu kubwa Akubali ukweli. ahusishe...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake
Kwamba wahusika hawatokwenda kwa wingi kama desturi yao kwa kukosa Imani na boti yao
Naomba kama yupo mwenzetu ndani ya jukwaa...
Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu.
Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi.
Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi...
Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi
Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini?
Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa fujo fujo tofauti na timu zingine mfano Timu ya wananchi (Yanga)
Hizi ni baadhi ya Comments za wana Jf nilizochukua Mapema kwenye baadhi ya Nyuzi kabla ya Derby,Ndugu Mpenzi wa Jukwaa leta nyingine kama unayo.
Au nisaidie kuwa-Tag waje wajitetee hapa tena.😂😂
Kwa heshima kubwa na kwa lengo la kuleta mafanikio kwa soka la Tanzania, ni wakati wa kuangalia mbali zaidi ya migawanyiko ya kiushabiki baina ya klabu na kuanzisha ushirikiano imara baina ya timu kubwa mbili za mpira wa miguu nchini, Simba na Yanga.
Katika hali ya mpira wa ushindani kuelekea...
Kichwa cha mada kinajielezea.
Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity].
Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa.
Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku.
Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge.
Rais Samia katoa mabilioni huku na kule.
Watu ambao mtu...
Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili.
Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila...
Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.
Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
Ukiona Yanga wanapata goli moja msiwabeze kwa kuwaona wabovu kwa kushinda goli moja moja. Kutumbukiza goli wavuni na kupata point tatu sio kazi ndogo.
Simba imecheza dhidi ya Biashara wakahaha kutumbukiza mpira wavuni lakini wapi mpaka refa akawapa penati lakini boko akawabokoa kwa kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.