washambulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Uingereza: Waandamanaji washambulia Hoteli za waomba hifadhi

    Vurugu hizi ni kufuatia Shambulio la Visu katika Darasa la Dansi huko Southport lililosababisha Vifo vya Wasichana Watatu wadogo, huku kadhaa wakijeruhiwa. Kulingana na Polisi, uvumi wa uongo ulienezwa Mtandaoni kwamba Mshukiwa katika shambulio hilo alikuwa mhamiaji Mwislamu. Hata hivyo...
  2. Jackal

    Ukraine Washambulia Ndege Ya Kisasa Kabisa Na Ghali Ya Urusi Chapa Su-57

    https://www.aljazeera.com/news/2024/6/10/ukraine-says-it-struck-su-57-fighter-jet-on-ground-at-russian-air-base
  3. MK254

    Ukraine washambulia kwa mzinga ndani ya Urusi

    Ukraine wanaendelea kupata ujasiri wa kutuma mizinga Urusi ndani ndani..... An intense explosion has occurred in the city of Taganrog in the Russian Rostov Oblast on the afternoon of 28 July. The Ministry of Defence of the Russian Federation claims that a Ukrainian missile has been shot down...
  4. MK254

    Poland yatuma wanajeshi mpakani licha ya Putin kulia lia

    Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa.... POLAND has sent troops to their border with Belarus to face off the growing threat of Wagner forces amassing on the Nato nation's eastern flank. Vladimir...
  5. MK254

    Crimea kunawaka moto, Ukraine washambulia ghala za silaha za Urusi kwa makombora

    Kuna wakati Putin alisema Crimea ikiguswa basi atafanya kitu maana itakua kama umeigusa Moscow, ila Ukraine siku hizi wanapiga sana hapo Crimea....
  6. MK254

    Ukraine washambulia mji wa Shebekino, Urusi kwa makombora, Urusi ndani ndani

    Bora sasa tuanze ku-balance stories, nipige nikupige, Warusi nao wahisi jinsi palivyo patamu.... Five people were wounded by overnight shelling in the western Russian town of Shebekino, in the Belgorod region, that damaged multiple buildings, the governor of the region has said this morning...
  7. Wakusoma 12

    Watu wenye silaha washambulia Hospitali alipolazwa mtoto Aya aliyezaliwa chini ya kifusi wakati wa Tetemeko huko Syria

    Wakuu watu hao wanahisiwa walikuwa katika mpango wa kumteka mtoto huyo mchanga. Kwa mujibu wa duru za habari kutokea katika hospitali hiyo watu hao wenye silaha walidai hawakuwa na nia ya kumteka mtoto Bali walikuwa wanamtafuta mkurugenzi wa hospital hiyo Kwa kumfukuza mwenzako. mkurugenzi wa...
  8. BARD AI

    'Panyaroad' washambulia tena watu kwa Mapanga Dar

    Jeshi la Polisi mkoani hapa lina washikilia watu wanne kufuatia tukio la vijana wanaodhaniwa kuwa ni wa kundi la Panyarodi kuvamia makazi katika eneo la Bunju B Mtaa wa Idara ya Maji saa 8 usiku wa kuamkia Februari 10, 2023. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dr es Salaam, Jumanne Muliro amesema...
  9. John Haramba

    Al-Shabab washambulia vituo vya Polisi Somalia, wasababisha vifo

    Wanamgambo wa Al-Shabab wameshambulia vituo vya polisi na vituo vya ukaguzi katika Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu, mapema leo Jumatano Februari 16, 2022. Imeelezwa kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine 16 wamejeruhiwa. Televisheni ya taifa imeripoti kuwa watu watano wamefariki katika...
  10. MsemajiUkweli

    Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

    Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona. Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika...
Back
Top Bottom