washambuliaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Dube sio level ya kimataifa. Ni bora wacheze Mzize na Musonda kama washambuliaji. Dube apumzike

    Hii ni fact Dube kaja kuirudisha yanga nyuma
  2. Digaller

    Wakati washambuliaji walipoteka Eneo takatifu la Waislamu

    Siku ya tarehe 20 Novemba 1979. Ilikuwa ni tarehe ya kwanza ya Muharram. Msikiti mkubwa zaidi wa Makka ulijaa mahujaji wa Pakistani, Indonesia, Morocco na Yemen pamoja na wenyeji. Katika umati huu wa watu pia kulikuwa na waasi, ambao walivaa nguo nyekundu zilizofunika vichwa vyao. Baadhi yao...
  3. Mkalukungone mwamba

    Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025

    Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025 Leo Yanga imemtambulisha kiungo mshambuliaji Clatous Chama akitokea Simba ambapo amemaliza mkataba wake Ujio wake ndani ya Yanga ni jambo la furaha sana kwa mashabiki wa Yanga maana ni mchezaji ambaye aliibwa sana hati kutia...
  4. kavulata

    Yanga epuka mpango wa kusajili washambuliaji dirisha dogo, walioko wanatosha kabisa

    Kuna wadau wanaotaka Yanga kuongeza washambuliaji dirisha dogo. Siungi mkono kwakuwa walioko wanatosha na kupitiliza. Timu ya Yanga Ina magoli mengi ya kufunga kuliko timu nyingine ya ligi hivi sasa kwenye ligi. Kwenye mashindano ya CAF timu zote hata zile kubwa zenye washambuliaji Bora ikiwemo...
  5. M

    Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

    JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
  6. Logikos

    Uchumi Mamboleo; Timu haijengwi na Washambuliaji Pekee

    Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa... Wanasema kila kitu ni Biashara kana kwamba vingine vyote havina maana; Yaani hata Timu sababu Mfungaji ndio...
  7. Mwande na Mndewa

    Fainali ya CAF: Yanga inahitaji washambuliaji katili kama Tumisang Orebonye, Aymen Mahious na Golikipa Djigui Diarra

    Yanga imefikia levo za CAF, kwenye level hizo hakuna timu za ajabu ajabu, kwenye levo za CAF hakuna wachezaji wanaosita sita kupiga pasi na anapoamua kupiga pasi anapoteza, kwenye levo za CAF hakuna mchezaji anayekosa ndani ya boksi la kumi na nane, kwenye levo za CAF hakuna kiungo mshambuliaji...
  8. mwarabu feki

    FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  9. M

    Lawlence Mulindwa ili timu yako ifanye vizuri kimataifa sajili washambuliaji wanakuangusha sana

    Sishangai kabisa vipers kucheza mechi 4 bila kufunga goli lolote kwakweli ni shida kubwa sana liko kwenye eneo la mwisho la vipers, kuanzia beki, na viungo wako vizuri sana lakini ushambuliaji ni majanga, Mechi ya leo ilikuwa ni mechi ya vipers kutoka na point kwa namna walivyocheza. Simba...
  10. GENTAMYCINE

    Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

    Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC. Na utakuwa ni Mwendawazimu wa kutukuka kama unategemea Mishambuliaji yako ya hovyo ambayo kwanza haijui kufunga, pili...
  11. M

    Kati ya hawa Washambuliaji Wawili wa NBC Premier League Lusajo na Mayele nani ni Mshamba Juha na nani ni Mstaarabu Mwerevu?

    Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima? Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima zaidi Tanzania hasa kwa Mambo makubwa na ya Kimataifa baada ya kutoka Niger juzi nikalala Ulaya...
  12. Its Pancho

    Washambuliaji wa kitanzania wanapaswa kujifunza kwa Mayele

    kuna wakati ukweli unatakiwa kusemwa wala haijalishi utauma vipi. Mshambuliaji wa yanga Fiston Kalala Mayele ni high class, haina budi washambuliaji wengine kujifunza hasa yule kijana Bob Marley kutoka simba.. Kupitia mechi ya leo yanga vs Mbeya Kwanza, unaona namna Mayele anavyokuwa hatari...
  13. F

    Yanga tunamkumbuka Mwinyi Zahera kwa washambuliaji makini aliotuletea

    Habari wadau, Nimekubali hujui thamani ya ulichonacho hadi kikiondoka. Mwinyi Zahera tulimfukuza kwa mbwembwe. Ila mpaka leo yanga haijapata mafanikio kuzidi ya mwinyi zahera japo alikaa mida mfupi kwa timu maskini bila tajiri gsm wala manji na isiyo na viongozi. Zahera alituletea makambo...
Back
Top Bottom