Watanzania ni mashololo ,ni mabishoo ni watu wasiopenda shida hawajui hamasa ila wanachojua wao ni kulaumu na Kutukana basi !tungepeleka wanafunzi wa secondary na vikundi vya hamasa vya ccm ,bendi ya TOT na twangapepeta nk
Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU.
Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale waliouliza maswali ya Ukraine wangeipata fresh yao.
Wapelekwe na wale wabunge kama king wanaosemaga...
Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morisson ili walete kombe Tz.
Fan wa taifa stars mwenye uzalendo mkali kwa taifa.
Sent from my SM-A260F using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.