Mbowe anasemwa kwa maneno yote, kutoka kuheshimika kwa wasomi na wasio wasomi, sasa anadharaulika mpaka kwa wanafunzi wa primary school huko
Si muige hata kwa wachaza mpira? Mchaza mpira ikifika pahala akaona kipaji chake ni kama kimeanza kushuka kwa kutumika miaka mingi, hustaafu kucheza na...
Zamani Chadema ilikuwa imesheheni vichwa makini, walikuwa watu kama profesa Safari, Profesa Baregu. Hawa ndo walikuwa thinktanks na washauri wa Chama.
Leo inasikitisha chama kimebaki na wahuni kama Ntobi, kijana anayetukana matusi ya wazi viongozi wa chama. Yeye mtu mwenye thamani kwake ni...
Niaje waungwana
Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo.
Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye...
Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili...
Habarini za wakati huu.
Pasi na shaka wapo washauri wa viongozi wetu, na viongozi ndyo huwachagua watu hao.
Napata mashaka kuona baadhi ya viongozi kuwa na hoja hafifu na uwezo mdogo wa kupambanua mambo, mimi sijabobea katika siasa lakini atleast naweza kuona na kuelewa mienendo ya viongozi...
Mr Nice
Bwana mmoja mwenye shamba alipanda viazi
akachimbachimba akapata almasi
hii ni bahati kwa mtu mwenye shamba*2
akatupa jembe lile akaenda mjini
kanunua moto car,sasa ni gariii.
Naam, Muheshimiwa Rais wa jamhuri wa muungano, nakusalimu kwa salamu yako
ukweli nimeona jitihada zako baada...
Mkufunzi Mstaafu na Mbobezi wa Mitaala.
Siku chache zilizopita niliona andiko katika mitandao ya kijamii lenye kichwa cha habari, “BILA ‘D’ TANO HAUSOMI FAMASIA” na katika andiko hilo kulikuwa na picha ya Mfamasia Mkuu wa Serikali. Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu habari ile nikagundua kuwa...
Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA.
Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi.
Ukiingia mitandaoni na penginepo, kila Tom na Jeri anafundisha kuhusu ndoa. Hata wachungaji nao ati ni...
Nimepata kumsikiliza waziri Bashe katika kujitahidi kukiinua kilimo nchini. Anabidii nzuri lakini nadhani anapaswa kupewa washauri wazuri wanaojua biashara ya kilimo sio tuu kulima.
Binafsi nashauri yaanzishwe makampuni ya kilimo moja Kwa moja shambani,iwe ni ubia kati ya serikali na watu...
Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya Watanzania.
Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma...
JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
Kama swali linavyo uliza hapo juu.
Ningependa kufahamishwa taifa letu lina washauri wangapi wa kimataifa katika uchumi na kutoka nchi gani?
Mwenye kujua anijuze tafadhari.
Majirani zetu Wakenya na Waganda kupitia mitandao ya kijamii wapongeza namna Tanzania ilivyoandaa sherehe za ufunguzi wa African Football League na kushauri Tanzania ipewe sherehe za ufunguzi na mechi ya fainali katika mashindano ya Afcon 2027 ambayo kwa pamoja itaandaliwa Tanzania, Kenya na Uganda.
Tatizo la kubadilishwa vituo na kurejeshwa kwenye madaraka kwa wateuliwa ni kukosekana na kwa makatibu wakuu aina ya akina Segue, Opio na Luanjo au nimteuaji kukosa muda wakukaa na katibu mkuu kiongozi kupanga safu?
Au wanaoteuliwa wanatumia nguvu za giza kuwachanganya wateuaji?
Kwanini...
Mwaka huu ni wa 10 tangu Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika miaka hii 10, ushirikiano kati ya China na nchi zilizo katika njia ya Ukanda Mmoja na Njia Moja zimefaidika kwa kiasi kikubwa.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja ya...
Rostam Aziz alijiweka karibu na JPM akafanikiwa kuzindua Taifa gesi. Leo JPM hayupo anamdhalilisha kwamba alionga na utawala wake ulikuwa unaelekeza nini mahakama ifanye....kama kweli anachosema ndicho anachokiamini kwanini hakusema JPM akiwa hai? Kwanini hakuwahi kukemea?
Mwigulu ameonyesha...
Kuna Baa Tatu maarufu zilizoko sehemu tofauti tofauti Wilayani Kinondoni Wamejazana kiasi kwamba Tanzania ingekuwa na Waasi au Magaidi na Bomu Kutupwa waliko hivi sasa Jeshi na Tanzania lingekuwa linaomboleza Vifo vya Wanajeshi wake wapatao Tisini ( 90 ) waliokuwa Wakilewa ( Wakigambeka ) katika...
Sisi wengine tulikuwepo wakati Rais Mkapa (1995-2005)anatukanwa kila siku kuwa "anauza nchi Kwa makaburu".....ilifikia wakati hadi nyimbo zilitungwa zikimuimba naukumbuka wimbo mmoja .."Kama sio juhudi zako Nyerere, Mkapa angeuza nini"???..Mkapa alikuwa anatukanwa kisa ni kuleta wawekezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.