Urais ni taasisi kubwa sana, unaotegemea sana utendaji wa idara mbalimbali. Idara hizo zisispofanya kazi vizuri, lawama zote zinaenda kwa Rais na Serikali nzima.
Ukweli ni kwamba, hata kama tutakuwa na pesa nyingi kiasi gani, hata tukawa na vyanzo vya kuingiza pesa nyingi kiasi gani, bila ya...