Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia...