washawasha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vita ya Abushiri kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889

    Vita ya Abushiri ilikuwa jaribio la wenyeji wa pwani ya Tanganyika kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889 lililokandamizwa na jeshi la Wajerumani. Wajerumani waliita "Uasi wa Waarabu". Viongozi Viongozi wake waliojulikana zaidi walikuwa Abushiri ibn Salim...
  2. Afrika ya Mashariki ya Kijerumani

    Ramani ya Kijerumani ionyeshayo Zanzibar na pwani (mnamo Mwaka1888) Sarafu ya rupia 1 iliyotolewa kwa jina la "Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft" (Kampuni ya Kijerumani ya Afrika ya Mashariki); tangu 1904 zilitolewa kwa jina la koloni yenyewe bila kutaja kampuni tena Afrika ya Mashariki ya...
  3. Maneno haya yani ukweli ndani yake

  4. Uchawi Mjini Unguja: Marehemu aonekana mitaani na sokoni

  5. LHRC, Amnesty International wataka Mbowe aachiwe na uhuru wa kisiasa uheshimiwe Tanzania

    Mbowe pamoja na wenzake 11 kutoka chama cha Chadema walikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Jumatano jijini Mwanza. Mashirika yanayotetea haki za binadamu yameikosoa vikali hatua ya Jeshi la Polisini nchini Tanzania ya kuwakamata baadha ya viongozi wa chama cha upinzani nchini humo Chadema...
  6. Athari tano za kiuchumi zinazoweza kutokea baada ya kuongezeka kwa tozo za miamala ya simu Tanzania

    Hii leo, Julai 15 2021 gharama ya miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu nchini Tanzania imepanda baada ya serikali kupandisha tozo ya miamala hiyo. Sintofahamu kubwa inashuhudiwa hii leo kwa wananchi wa Tanzania ambao wengi wao ni watumiaji wakubwa wa huduma hiyo. Hali hii imepelekea maswali...
  7. Haya Ndiyo Makazi Ya 60% Ya Walipa Miamala Ya Simu

  8. P

    Maiko Bande: Magari ya washawasha yabadilishwe kuwa magari ya fire.

    Nchi hii ni ya Amani, Magari ya washawasha ni mengi kuliko magari ya zimamoto. Akichangia katika kipindi cha malumbano ya hoja mchangiaji huyu amesema inashangaza kuwa na magari ya washawasha mengi nchini yasiyokuwa na matumizi.
  9. Mbona magari yao ya washawasha hayajawahi kukosa maji?

    Hivii kweli kariako sokoni na fire makaoo makuu ni Kama km 3!!makao makuu haya fire hydrants kweli? Mpaka wafuate maji airport? Ila wangesikia BAVICHA au mbowe wanafanya mikutano ya ndani wangekuja mpaka na vidumu vya maji ya washawasha! Ifike pahala kuwe na uwajibashwajii wa uzembe Kama huo...
  10. Pemba: Mtoto anayewaka moto akiingia anyanyapawa kwa kuitwa “washawasha”

    Ukiona mtu mzima analia tambua kabisa kwamba kuna jambo. Faki Hamad Mbarouk mkaazi wa mtaa wa Msigiri uliopo Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba anakabiliwa na mtihani mkubwa ambao umemfanya uso upoteze furaha yake usiku na mchana kutokana na mwanae kukabiliwa na mkasa wa ajabu wa kuwaka...
  11. Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  12. Utafiti: Paracetamol yaathiri uwezo wa kuzalisha

    Utafiti umebaini kuwa matumizi ya Paracetamol kwa siku 7 unapunguza uzalishaji wa homoni za kiume na uwezo wa watoto mvulana kuzalisha baadaye. Wanawake wajawazito wanapaswa kutahadhari zaidi wanapotumia dawa zozote zilizo na chembechembe za Paracetamol. Utafiti wa Wanasayansi nchini Uingereza...
  13. Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

    Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini. Je wapo wanaopima kina cha maji? ======== Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi...
  14. Mafuriko makubwa ya maji yaliyotokea nchini Pakistan mjini Karachi. Haijawahi kutokea miaka mingi hii ni gharika

  15. Ipe maneno katuni yangu ya leo

  16. Mimi ni mwanaume rijali ninaeogopa madudu washawasha na umbali wa kutoka juu hadi chini

    Kusema ukweli Mimi ni rijali na vigezo vifuatavyo vinathibitisha Hilo. Nina six pack Mrefu Mweusi Katili kidogo Sijawahi kupigwa kwenye ngumi. Nk Ila udhaifu wangu ukitaka nilie kama mtoto mdogo nirushie dudu washawasha lenye manyoya na likitembea linajinyonga nyonga. Uoga wangu wa pili ni...
  17. Uchaguzi 2020 IGP Sirro asidhani kuwa anaweza kudumisha amani visiwani Pemba kwa kutumia mitutu ya bunduki na magari ya washawasha

    Imenenwa katika kitabu cha Mithali katika Biblia katika sura ya 14:34 ikisema hivi nanukuu " Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Tumemsikia wenyewe IGP Sirro akitutisha watanzania kuwa Jeshi lake la Polisi liko imara na linafanya mazoezi ya nguvu ili kupambana...
  18. Matatizo yanayo husiana na maradhi ya figo na ufumbuzi wake

    Ugonjwa wa figo Figo ni ogani inayoshirikiana na moyo. Kuathirika kwake kuna athari kubwa kwa mfumo wa damu na mapigo ya moyo. Magonjwa sugu ya figo hutokea pale ogani hiyo inapopoteza uwezo wa kutenda kazi zake kikamilifu. Tatizo huanza taratibu na kudumu kwa muda mrefu hadi kuonyesha dalili...
  19. K

    Corona imekuwa mradi wa Serikali au Mradi wa watu? Wanaowekwa karantini walalamikia bei kubwa ya hoteli wanazopelekwa

    Baadhi ya Wasafiri waliofika Uwanja wa Ndege wa Dar na kutakiwa kujiweka Karantini kwa gharama zao wakilalamika kuwa wametakiwa kukaa hoteli zenye gharama Wasafiri hao wameomba msaada kwa Mamlaka hususan Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwani wametakiwa kukaa katika hoteli za Southern Sun, Rungwe...
  20. Mlipuko wa maradhi ya homa ya mapafu corona virus duniani kote

    Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu naosababishwa na Virusi vya Corona unaoenea kwa kasi duniani, Tanzania sio kisiwa Naomba wote tufanye yafuatayo ili kuchukua hatua mapema: 1. Wahi kununua Mask kwa familia, mlipuko ukianza hizo Mask hazitaweza kupatikana kiurahisi 2. Nunua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…