Awali ya yote natangaza wazi kwamba mimi ninaiunga mkono Urusi.
Hata hivyo, kwa mtu yeyote ambaye amefuatilia hii vita, hitimisho iko wazi. Urusi pamoja na kuchukua muda mrefu kukamilisha malengo yake tofauti na wengi tulivyodhani ukizingatia uwezo wa Urusi kijeshi, bado ushindi upo kwake...