washuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    NECTA 2024: Ufaulu wa Wanafunzi wa Kike wa Darasa la 7 washuka, Wavulana wafanya vizuri, Shule 12,838 zimepata Daraja C

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023. Jumla ya...
  2. Waufukweni

    Wapinzani wa Simba Washtuka, Washuka na Bordguards Kibao Airport

    Wapinzani wa Simba SC, Al-Ahli Tripoli kutoka Lybia, wamewasili nchini na tayari wameshuka kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakiwa na Bordguards kibao. Timu hiyo inajiandaa kukabiliana na Simba SC katika mechi ya marudio itakayochezwa Jumapili, Septemba 22, katika Dimba la...
  3. Yoyo Zhou

    Umaarufu wa Marekani barani Afrika washuka huku wa China ukiongezeka

    Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Shirika la Uchunguzi wa Maoni la Marekani Gallup umebaini kuwa umaarufu wa Marekani umeshuka barani Afrika, huku umaarufu wa China ukiongezeka. Utafiti huo uliofanywa katika nchi 36 za Afrika unaonesha kuwa, umaarufu wa Marekani barani Afrika kwa mwaka 2023...
  4. JanguKamaJangu

    Nusu ya utajiri wa Jack Ma washuka baada ya kuzikosoa Mamlaka za China

    Takwimu zinaonesha kiwango hicho kimeshuka ndani ya kipindi cha miaka mitatu tangu alipotoa kauli za kukosoa na kupuuza mamlaka za fedha za China pamoja na Benki. Ripoti ya Mabilionea ya Bloomberg imesema Utajiri wa Ma ni Dola Bilioni 30, wakati Mwaka 2020 ulikuwa ni Dola Bilioni 61.2 kabla ya...
  5. BARD AI

    Uzalishaji wa Pombe washuka kwa kasi Tanzania

    Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha uzalishaji wa bia nchini umeshuka kutoka lita milioni 386 mwaka 2020, hadi lita milioni 380, ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 1.5. Kwa upande wa pombe aina ya konyagi nayo uzalishaji wake...
  6. mwanamwana

    Bei ya Unga kushuka kutoka Ksh. 230 hadi Ksh. 100 baada ya ruzuku ya Serikali

    Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18 Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4. Katika muda wa wiki 4, Wizara ya Kilimo italipa sehemu ya gharama ya kuzalisha Unga, ili kuwaepusha...
  7. JanguKamaJangu

    Uchapishaji na uuzaji wa magazeti Marekani washuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja

    Mzunguko wa usambazaji wa magazeti Nchini Marekani umeshuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja uliopita katika takwimu zilizoishia Machi 2022. Magazeti ya The Wall Street Journal na New York Times yameendelea kuongoza katika nafasi ya kwanza na ya pili kwa kuuza nakala nyingi lakini bado takwimu...
  8. Miss Zomboko

    Marekani: Umaarufu wa Biden washuka baada ya Mji wa Kabul kutekwa na Taliban

    Umaarufu wa rais wa Marekani Joe Biden umepungua kwa asilimia saba na kufikia kiwango chake cha chini baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa Afghanistan, kulingana na uchunguzi wa Shirika la Habari la Reuters / Ipsos. Baada ya mahojiano yaliyofanywa na raia kadhaa wa Marekani siku ya Jumatatu...
Back
Top Bottom