Muda ni mali kama mali nyingine kuupoteza ni kosa sawa na makosa mengine. Kuna watu ukimpa nafasi ya kuzungumza atanza na neneo ""aaa". Mfano, aaa asanteni sana aaaa kwa kunipatia hii nafasi aaaa ya kuzungumza na nyinyi hapa. Aaa kusema ukweli aaa nilikuwa aaaa sina ndoto kama IPO siku aaaa...