Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu.
Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao watapelekwa katika Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu.
Taarifa hiyo imewakumbusha...