WABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana baada ya Mchango wa Mhe Halima Mdee Bungeni ambao binafsi niliupenda sana kutokana na umahili wake wa kujenga hoja, baadae alisimama Mhe Kunambi na Mhe Jerry Silaa ambao ni Wabunge wa CCM kujaribu kupinga hoja zake...