Habari za siku wanajamvi,
Natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kumekuwa na chuki inayosambaa kwa spidi ya 5G baina ya tabaka lenye elimu "waliosoma" na tabaka wasio na elimu "darasa la 7 " . Kwenye haya matabaka kila moja linajinasibu kuwa bora kuliko lenzie katika...