wasiofaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna yeyote anayejua au kuweza kujua ni vigezo gani mwendazake Magufuli alitumia kuwapa mamlaka watu wasiofaa na wanafiki waliojifanya kumuunga mkono?

    Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia na kumchekea wakati nyuma ya pazia walikuwa wakimchukia, kumponda na kutamani afe kama iivyotokea...
  2. Ifike mahali, Wananchi wawakatae Wakuu wa Mikoa wasiofaa. Uteuzi wa Rais siyo msahafu

    Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa kushirikiana na viongozi bora katka mazingira ya amani, utulivu na upendo. Kiongozi ambaye siku zote ni kuchochea mpasuko na vurugu hafai hata kidogo. Nitoe mfano hai kwa kiongozi kama Makonda. Kiongozi huyu ametuhumiwa na kwa ushahidi ulio wazi...
  3. Julia loffe: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma (Wananchi)

    Akiwa anatoa hija yake kuhusu athari za habari potofu Mwandishi w Urusi Julia Loffe anaeleza: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma na kusababisha uungwaji mkono wa Sera na Viongozi wa Kisiasa wasiofaa. --- Habari Potofu huathiri Michakato ya kupata Viongozi wa Kisiasa, hushusha Imani ya...
  4. Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo. Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu...
  5. Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

    1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA) 2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI) 3. Philipo Mpango: Ingawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…