Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi!
Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
Mhadhara - 45:
Asilimia kubwa ya MEME zinazosambaa kwenye MITANDAO YA KIJAMII na kupostiwa na watu kwenye STATUS UPDATES zinaandikwa na watu (vijana) wenye fikra finyu na wasiojitambua.
Unapaswa kufahamu kwamba hakuna changamoto yoyote inayotatuliwa kwa kutumia MEME. Kila changamoto...
Nimefuatilia mahojiano ya Profesa Anna Tibaijuka na Kituo cha Wasafi kuhusu sakata la mkataba wa ki.pu.mbavu ambao Nchi yetu imeingia na Dubai hivi karibuni!
Mahojiano hayo yaliongozwa na Edo Kumwembe na mtu anayejiita Oscar!
Hao wanahabari nawashauri waendelee na mambo ya mpira na mambo...
1. Ili upate Ajira Serikalini Kipaumbele uwe mwana CCM.
2. Ili upate Uteuzi wa Kiutendaji (katika Mashirika) lazima uwe mwana CCM.
3. Mkiwa Vyuo Vikuu pakitokea tatizo kuhusu Pesa za Bodi ya Mikopo mkisema tu nyie pia ni wana CCM mnashughulikiwa haraka.
4. Ili upate Ajira TISS (narudia tena...
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila nadhani kama kuna Mchezaji Mzawa ambaye Watanzania tuna Roho Mbaya, Wivu na Unafiki wa Kutomuimba na Kumtukuza inavyotakiwa ni Kiungo Mshambuliaji na Winga Farid Malick Mussa wa Yanga SC.
Kama kuna Mchezaji ambaye leo katika Mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes...
Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli kimesababishwa na Covid, nilistuka na sikuamini masikio yangu!Kwa maoni yangu hii inam-compromise...
Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa...
Hapa Tanzania vijana wao kutwa nzima nikuongelea Pombe, Mpira na Ngono na hapo wanasiasa uchwara wanapopata njia ya kuitawala hii nchi bila kufata misingi ya haki na utawala bora.
Hivyo basi nipende kuwaaambia ukweli safari ya asali na maziwa imeharibiwa na hii generation ya sasa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.