Japo dini ni hazina tofauti na uganga wa kienyeji, upiga ramli, na utapeli, ni wachache wanaoelewa hivi.
Hebu angalia namna dini zinavyotufanya waswahili tuwe maskini tukitajirisha wale waliozileta.
Mosi, zina mfumo wa kuwatoa waumini kodi kwa njia haramu kama vile fungu la kumi, michango...
Haya tena Papa Francis naye acharuka:
Hivi hawa wenye kujua kinacho hitajika kuwa ni kukaa chini na kuongea amani ni wafuasi wa nani?
Kwamba siyo wenda wazimu?
Ni maswali nyeti sana haya kwa wenye akili zao.
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine.
========================
Muslim refugees heading...
Nadhani tunahitaji kujadili siasa za nchi yetu kwa uhalisia zaidi kuliko kwa kujipa moyo au kwa wishful thinking
Uhalisia upo hivi, Rais Samia Suluhu ndio Rais ambaye amejaribu kuwa fair zaidi kwa Chadema kuliko Rais yeyote, na sidhani kama atatokea Rais mwingine akawa fair kwao kama Samia...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari.
Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
Ama kwa hakika Kenya wamepiga hatua kubwa sana.
Kwetu wastaafu hawataki kustaafu na wanalazimisha watoto kuja kutawala.
Nini tofauti yetu na Kenya?
Kupi kufanana kwetu na Uganda, Burundi au Rwanda?
Pole yetu Tanzania.
SIFA ZA WATU ULIOWAZIDI WASIOTAKA UFANIKIWE!
Anaandika Robert Heriel.
Leo sitaandika mambo mengi. Andiko hili litakusaidia kuwaelewa watu na kukufanya usiwe na Stress za kijinga.
Zifuatazo ni miongoni mwa sifa za watu uliowazidi.
1. Wanapenda kujilinganisha na wewe.
Ukiona unatabia ya...
Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa:
Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani?
Hekima ipi mpewe na nani nyie?
Au ndiyo la kuvunda?
Hivi karibuni Mama Samia alifanya mazungumzo na Mh. Lissu na Mh. Mbowe kila mmoja kwa wakati tofauti.
Mazungumzo hayo kwa hakika yamekuwa yenye kuleta tija kubwa kwa taifa letu.
Leo hii waliokuwa wanalalamikiwa wanakemewa:
Tulipo sasa tunategemea kila mmoja atafuata sheria zilizopo kwa...
Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa.
Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
Hujambo?
Watu ambao hawataki kulipa kodi watupishe kabisa katika nchi hii, tumechoka kusikia malalamiko yao!
Nchi haiwezi endelea bila wewe kutoa kodi, hutakia hama nchi! Oho! Mara makato miamala mikubwa !! Unataka nani akujengee nchi?
Acha ujinga na elimika!