wasiwasi wa kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Kuna gari V8 nyeusi imepaki hapa Kijiweni kwetu kitambo kidogo, hatujui nani mmiliki na kwanini ipo hapa!

    Mrejesho: saa 11:08 Naona kuna mdada amewasili na kuingia ndani ya V8 imeondoka ikiendeshwa na Dereva mwanaume kavaa suti nyeusi. Vicheko vimetawala ndani ya gari hiyo Aksanteni kwa maoni yenu na faraja yenu Wadau hamjamboni nyote? Mimi ni raia mwema kabisa na sina hofu ya kukamatwa Ila...
Back
Top Bottom