Habari wana JF,
Natumaini mu wazima wa afya, binafsi nimeona hili ni jambo jema nije kushare na nyinyi ndugu zangu, iko hivi sometimes nimeona malalamiko humu mtu akilaumu kuwa mpenzi wake hamuami sijui kila mara kwa mara anamuuliza uko wapi, na vitu kama hivyo.
Binafsi hili naliona ni jambo...