Unakuta mtu anajiita Atheist Ila anaamini katika universe na nature Ila haamini kuhusu Mungu mwingine yeye hatambui universe wala nature Ila anaamini Mungu. Ukifatilia hawa wote hawajitambui maana wanafatisha watu wamagharibi wanachokiamini.
Binafsi Mimi naamini katika mizimu na karma. I pray...