Taifa limejaa wasomi ila ukisikiliza wanachoandika (kupitia machapisho yao) na wanachoongea unaweza kulia. PhD zimejaa kwenye siasa na kuacha mediocre kwenye academia.
NB: Duniani huko Scholarship na Grants zimeanzishwa kusomesha na kufadhili tafiti za kutatua matatizo pia kuwaenzi wasomi...