wassira

  1. Kabende Msakila

    Pre GE2025 Stephen Wassira: Mtu mahiri, mbobezi, na mzalendo kwa Taifa

    Wanabodi, Salaam! Namzungumzia nguli wa siasa na diplomasia nchini - mwamba wa nchi - chuma cha pua Mhe Stephen Masatu Wassira. # Ni nadra sana kupata kiongozi mwenye umri mkubwa kama Wassira - kiumweli ukilinganisha umri wake na kazi afanyazo huwezi kuamini; # Mzee Wassira ana uwezo wa...
  2. J

    PICHA: Namna Spika wa Bunge la Cuba anavyofanana na M|Kiti Steven Wassira

    WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.* Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
  3. Richard

    Pre GE2025 Uchambuzi: CCM kumteua Steven Wassira ni onyo kwamba watashinda uchaguzi wa 2025 kwa gharama yoyote, CHADEMA ijipange kwa uchaguzi wa 2030 na si 2025

    Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya. Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine khasa ya kimataifa zaidi. Hivyo kuna wakati najikuta naangalia kinoendelea hapahapa nchini mwetu na...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    Lissu Amjibu Wassira

    https://youtu.be/P-e08q4WqDs?si=rhQ1idwPKk3IMKlw
  5. T

    Pre GE2025 Mzee Wasira anadai Mwita Waitara alikuwa akiwatumia vijana wa Tarime kufanya fujo

    Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
  6. The Watchman

    Wasira: Wengine ni vibaraka wakubwa, waache uhuni na nchi yetu, sisi tunaongoza dola kwa idhini ya watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza...
  7. El Roi

    Wassira, mtu aliyepitwa na wakati. ( Man out of the hours)

    Kwa malezi niliyoyapata toka kwa wazazi wangu na makuzi mengine katika maisha, huwa Sina kawaida ya kudharau mtu. Na naomba chapisho langu lisionekane kuwa personal na Mzee wassira bali litazamwe kama jicho la ukweli wangu. Malezi hayo pia yamenifanya kuwa mkweli na mtu ambaye naweza kuongea...
  8. Carlos The Jackal

    Hoja anazoaminia Makamo Mwenyekiti CCM Mzee Wassira dhidi ya Akina LISSU

    LISSU na watu wake wanataka kuleta Vita . Mabeberu wanawatumia Akina LISSU kuleta Ushoga( anasahau kua CCM haijawah kupinga ushoga hadharani ) Tukiwapa Urais Amani itapotea. Amani ya Nchi hii tutailinda Kwa gharama zote. Hao ni vibaka na walopokaji . Daaah Hivi kabisa kabisa Dola kwamba...
  9. T

    Pre GE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

    Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election' "Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa...
  10. T

    Pre GE2025 Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru

    "Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda gani? Kama wana huo mkataba wauoneshe" Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Mapinduzi...
  11. Akilindogosana

    Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

    Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri Mdahalo uzungumzie 1. Masuala ya vijana 2. Hali ya kiuchumi 3. Ukosefu wa ajira 4. Nyingine muongezee
  12. E

    Mawe yamefika Ikulu, CCM wamtuma Wassira "atueleweshe" Samia kapitishwaje

    DEMOCRATIC PROCESS ya CHADEMA imewaabisha sana.. Wassira kaja na hoja kwamba: Mkutano Mkuu can do anything. Hivyo, ikawatuma Halmashauri Kuu - wakati Konde Boy na Zuchu na Ally Kiba wanatumbuiza - waende "KUONDOA VIKWAZO." https://youtu.be/IMpd59VFxqY?si=eOyHa3FW216q-r2_ Swali Je...
  13. Li ngunda ngali

    Kinana mwenye miaka 76 kastaafu na Wassira mwenye miaka 80 kachukua nafasi

    Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni! Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
  14. M24 Headquarters-Kigali

    Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara

    1. Mara ni kitivo cha uongozi. Mwl Nyerere, Jaji Warioba, Jenerali Msuguri, IGP (Mstaafu) Sirro ndio waliopotokea. 2. Tunawakaribisha viongozi wetu hapa airport Musoma tarehe 30/03/2025. Saa 5 asubuhi
  15. Li ngunda ngali

    Wassira: Wapinzani chezeeni ndevu na msithubutu kuchezea Dola ( CCM)

    "....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina tatizo. Ila, ishieni kuchezea ndevu pekee na siyo Dola."
  16. SEGUZO

    Wasifu na Historia ya Mzee Stephen Wasira

    Historia yake Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 -...
  17. Camilo Cienfuegos

    Unajua kwanini Stephen Wasira anaitwa “Tyson”?

    Kwema wakuu… Anaandika mwandishi mkongwe, Pascal Mayalla kwanini Steven Wassira hujulikana pia kama Tyson. “Mimi nimeingia newsroom Januari 2, 1990, huu ni mwaka wangu wa 34, hivyo Wasira namfahamu sana tuu, ile siku anamtwanga makonde mwandishi Yasin Sadiki pale Maelezo, nilikuwepo!. Makonde...
  18. N

    Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

    Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu, Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama, Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje? Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa...
  19. Cute Wife

    Pre GE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

    Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii. Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa! Pia soma: Lissu: Habari ya...
  20. gstar

    Kwanini Stephen Wassira hafai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Kwangu mimi mzee Stephen Wassira namuona kama ni muimba mapambio na mtu wa kusifu zaidi bila kuweka hoja mezani. Kila kitu kwake ni propaganda kuliko uhalisia. Kuna mambo mbayo hayahitaji propaganda zaidi yanahitaji kusemewa ukweli, kwa mfano kwenye suala la utekwaji wa watu katibu mkuu...
Back
Top Bottom