Kwema wakuu…
Anaandika mwandishi mkongwe, Pascal Mayalla kwanini Steven Wassira hujulikana pia kama Tyson.
“Mimi nimeingia newsroom Januari 2, 1990, huu ni mwaka wangu wa 34, hivyo Wasira namfahamu sana tuu, ile siku anamtwanga makonde mwandishi Yasin Sadiki pale Maelezo, nilikuwepo!. Makonde...