Akizungumza jijini Arusha Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais- Uwekezaji na Mipango Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa Wanawake wanaishi umri mkubwa wa zaidi ya miaka 68 ikilinganishwa na Wanaume wanaoishi miaka 64
“Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022 imeonyesha kuwa umri wa Mtanzania...