Humu jukwaani Kuna madaktari,manesi,wakunga, wataalamu wa tiba mbadala,na wabobezi wa masuala ya afya,hivyo
Uzi huu ni maalumu kwa wale wote wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali
Una ndugu yako ameugua kwa muda mrefu,huoni solution waambie wataalamu wa afya watakusaidia.
Kwa upande wangu...
Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu.
Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo.
Nina shida ya Afya!.
Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu lakini cha kushangaza ni kwamba nilianza kukohoa kikohozi kikali japo sio kavu na nilienda Hospital...
Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili.
Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu?
Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
Chama cha Madaktari, Wafamasia na Wanasheria wa Meno wa Kenya (KMPDU) kimepinga marekebisho yaliyopendekezwa kwa kanuni za Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) yaliyotangazwa na Rais William Ruto.
Hii ni baada ya Rais William Ruto kutangaza siku ya Wafanyakazi kuwa mara baada ya marekebisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.