wataalamu wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JE, NI KWELI PUNYETO NA USAGAJI NI MIONGONi MWA VYANZO VYA KANSA YA VIA UZAZI, MADAKTARI NA WATAALAMU WA AFYA YA UZAZI?

    Naomba ufafanuzi tafadhali wangwana matabibu wa afya na mapenzi?🐒
  2. L

    Msaada wataalamu wa Afya ya Sauti

    Habari za kazi wataalamu wa Afya. Nina tatizo la sauti yangu kutoka kwa kukwaruza. Nimetumia dawa lkn sauti yangu halisi imekataa kurudi, naelekea kumaliza mwaka Sasa. Naomba msaada kwa anaejua mahala sahihi ambapo naweza kupata matibabu.ama kama mtu anaweza kunifanyia matibabu nitashukuru...
  3. Damaso

    Tuwaheshimu Watalamu wa Jadi

    Ilikuwa mwaka 2006 majira ya Jumamosi nipo zangu nyuma ya bweni nikishua shuka zangu mbili na sare za shule, pembeni nipo na redio yangu niliyopewa na Babu. Hapo ni kidato cha pili, kidogo swahiba wangu mkubwa sana alikuja mbio na kunipa taarifa kuwa Mwalimu Mkuu ananiita kwake, sio mbali...
  4. Mwizukulu mgikuru

    Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  5. Mgeni wa Jiji

    Wataalamu wa afya; mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza miili, je kuna madhara kiafya?

    Salamu waungwana. Nisiwe na maneno mengi mimi nina swali hili kwa wataalamu wa afya na wizara ya afya kwa ujumla. Je, mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza joto la miili yao ni salama kwa afya? Kama sio salama kwanini wizara na wataalamu wa afya hamlizungumzii hili suala hata kutoa...
  6. J

    SoC03 Kwanini katika jamii ya wamasai hakuna watu wenye ulemavu? Serikali inatakiwa kufanya nini ili kukabiliana na jambo hili kupitia utawala bora

    Wamasai ni miongoni mwa makabila maarufu katika manila takribani 150 yanayopatikana nchi Tanzania katika kanda za mikoa ya kanda za juu kusini hususani mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, jamii ya kimasai ni jamii maarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutokana na sifa ya kipekee ya...
  7. cupvich

    SoC03 Ugatuzi wa madaraka ya ajira ngazi ya Halmashauri unavyoweza kuwa mwarobaini wa upungufu wa Walimu na Wataalamu wa Afya nchini

    Ripoti ya Mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Kwa mwaka wa fedha 2021/22 inaonyesha kwamba Katika halmashauri 23 pekee zilizofanyiwa tathmini Katika uwiano wa mwalimu Kwa wanafunzi ilibainisha Upungufu wa walimu 10,071 sawa na asilimia 35 ambapo walimu waliopo katika...
  8. Roving Journalist

    Saratani ya Uvimbe Tumbo kwa watoto

    Mjadala unaendelea muda huu kwenye Twitter Spaces ya JamiiForums Septemba 29,2022. Unaweza kusikiliza kupitia kiunganishi hiki hapa >>> JF SPACES Dr. Shakilu Jumanne Tunachoongelea hapa ni uvimbe unaotokea tumboni. Ni magroup ya magonjwa kadhaa yanayo sababisha saratani tumboni. Dr...
  9. Daniel Adam Kidingija

    SoC02 Umuhimu wa Wataalam wa Afya ya Akili katika jamii

    Utangulizi Huenda hulijui hili, kwa wewe ambae unalijua basi nakukumbusha. Sionekani ila nipo kila mahali ambapo binadamu huishi. Mataifa makubwa duniani na nchi nyingi zinazoendelea zinatambua umuhimu wa mimi kuwa timamu. Ila nasikitika kuona taifa lililo na watu zaidi ya millioni sitini (60)...
  10. jingalao

    Waziri Ummy nashauri ukae na wataalamu wa afya kabla ya tamko la bei ya huduma za afya

    Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive. Nikijikita katika mada, Mimi ni muumini wa sustainable health system financing yaani sekta ya afya inahitaji njia endelevu ya rasilimali fedha ili iweze kuleta tija. Mfumo wa...
  11. D

    Misingi ya kiimani katika mitaala inayowaongoza wataalamu wa afya

    Imani katika kutoa huduma za afya ni kitu bora sana ukizingatia kunamatukio mbali mbali yanayotokea kupitia huduma za afya katika mazingira ya huduma ikiwemo hospitali za serikali na binafsi pamoja na vituo vidogo vya afya. Matukio mengi yanayofanyika yanahusisha Imani potofu, na mazoea katika...
  12. fullcup

    Namba za NIDA zitumike kuajiri walimu na wataalamu wa Afya

    Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani. Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
  13. GUSSIE

    #COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19 Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
Back
Top Bottom