Leo nimesikia kwenye Taarifa ya habari ya E FM radio, 93.7 Dar es salaam.
Kuwa Mradi wa Maji uliotolewa na World bank, Mkandarasi ni Mchina.
Juzi nikiwa maeneo ya madale niliona wachina wakiwa wanasimamia uwekaji wa mabomba ya maji maeneo hayo.
Swali ni kwamba?
1. Serikali haina imani na...