wataendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nitashangaa kuona Kasongo yeye na kundi lake pale TPLB wataendelea kuwepo.

    Kwa hili walilolifanya bodi ya ligi wakiongozwa na CEO wao Kasongo, wana kila sababu ya kuachia nafasi zao kwa maslahi mapana ya mpira wetu,, kwa kweli wamedhihirisha kuwa bodi yao yote kwa ujumla ni dhaifu na haina uwezo wa kusimamia mpira wetu. Ni wakati sasa wa kuachia madaraka wawapishe watu...
  2. Mbunge Ndaisaba Ruhoro Asema Wakulima wa Kahawa Wataendelea Kunufaika

    MBUNGE WA JIMBO LA NGARA MH. NDAISABA RUHORO AKONGA MIOYO YA WAKULMA WA KAHAWA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mheshimiwa Ndaisaba George Ruhoro amehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Ushirika Ngara Farmers Cooperative Society 2024-2025. Akizungumza na Wakulima pamoja na Wanachama wa Ngara Farmers...
  3. Mnaosema CCM wataendelea kushinda chaguzi kwa sababu ya Mbowe, ni lini uchaguzi huru umefanyika Tanzania

    Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu mwakani 2025! Eti Mbowe ni laini kwenye meza ya majadiliano! Kwamba Lissu angeachiwa ashinde uenyekiti...
  4. Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  5. K

    Maono: Kama viongozi wetu wataendelea hivi Majanga hayataisha Tanzania

    Kwa sisi wenye imani tunaamini majanga yetu ni kwasababu ya uporaji wa haki na bila kuwa na upendo na haki kwa wote ikiwa ni pamoja na katiba nzuri, demokrasia ya kweli, bunge na mahakama inayotoa haki majanga nchini hayataisha. Majanga yatakuja ya mvua, matetemoko , ajali na vifo. Viongozi...
  6. G

    Watanzania wengi hawajengi kwao kwa kisingizio cha kutunza asili na hofu ya kurogwa, Wachaga pekee wameweza kukiruka hiki kiunzi

    Inashangaza sana Mfanyabiashara Mkinga ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Njombe mjini lakini kijijini Makete kijumba Mhandisi Msukuma ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Mwanza mjini lakini kijijini Gamboshi kijumba Profesa Mhaya ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Bukoba mjini lakini kijijini Biharamulo...
  7. Pre GE2025 Jaji Warioba: Waliosimamia Uchaguzi wa 2019 na 2020 wataendelea na je wanaaminika?

    Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilikuwa kama ajali kwasababu hazikuwa katika utaratibu wa kawaida ikiwemo Mawakala kusambaratishwa wakati wa Kuhesabu Kura Ameongeza kuwa hali hiyo imeanza kuibua hoja na maswali kuhusu...
  8. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA, Wajiandae kumpoteza Rose Mayemba

    Salaam Wakuu, Natoa tahadhari kwa Wafusi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA kama walivyofanya kwa Mchungaji Msigwa, Wajiandae kumpoteza Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose Mayemba. Mheshimiwa Rose Mayemba...
  9. M

    Unaojifariji mbeleni watabadilika wengi wao wataendelea kukuumiza badala ya kubadilika

    UNAOJIFARIJI MBELENI WATABADILIKA WENGI WAO WATAENDELEA KUKUUMIZA BADALA YA KUBADILIKA. Kuna usemi maarufu usemao kama huwezi kumpenda mtu vile alivyo sasa mwache na usijidanganye kumbadilisha awe utakavyo ndio umpende. Huo msemo una maana pana hasa ukiwalenga watu ambao wanajifariji kuwa ipo...
  10. G

    Kina baba tubadilike tupunguze ukoloni lasivyo kina mama wataendelea kuzoa points kwa watoto, uzeeni watamjali mama huku wewe uliyepambana unatengwa

    point yangu sio kutegemea uje kutunzwa na watoto, ni kwamba ukizeeka muda mwingi watoto wako watakuwa karibu na mama yao kuanzia kumjulia hali, kumsaidia, kumpa faraja na hata kwenye simu unakuta watoto wanampigia sana mama yao, mtoto anakuwa bado anakuheshimu kama baba lakini shida ni kwamba...
  11. Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  12. S

    Mechi ya marudiano Afrika Kusini, Mamelodi wataendelea kupigiana pasi na golikipa wao?

    Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini? Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga...
  13. Diaspora Tanzania Waonywa, Wasipojitambua Wataendelea kulaumu!

    Mjomba wangu Emma Maruma, mchagga. Baada ya kuishi Marekani kwa zaidi ya miaka 40,akiishi Houston Texas na kufanya kazi mbalimbali Serikali ya Marekani. Mjomba wangu Emma Maruma, akiwa na umri wa miaka 70, hatimaye alihamia Tanzania mwaka huu, akiishi katika nyumba yake kubwa ya vyumba vitano...
  14. Houth wasema wataendelea kuifunga Red Sea mpaka Marekani na Israel ziondoke Gaza

    Mjumbe wa baraza la mapinduzi la Yemen,Mohammed Ali Houth amejibu azimio la Umoja wa mataifa linaloitaka kuacha kushambulia meli kwenye bahari nyekundu. Akijibu azimio hilo,kiongozi huyo wa Houth amesema hawatoacha mashambulizi yao mpaka hapo Marekani itakapoacha kuiunga mkono Israel katika...
  15. Waziri Gwajima: Hatuwezi kufikia Dira ya Maendeleo 2030 ikiwa mamilioni ya Wasichana wataendelea kukeketwa

    Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa kupinga ukeketaji amesema mpango Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, hauwezi kufikiwa kwa mafanikio kama vitendo vya ukeketaji wa Wanawake...
  16. S

    Kwa mwendo huu machawa wa Samia wataendelea kupeta

    Salama ya upinzani kuchukua dola ilikuwa mikononi mwa maridhiano ambayo yangepelekea uundwaji wa katiba mpya ambayo ingezaa tume huru ya uchaguzi. Na jambo hili lilikuwa pia linasubiriwa kwa hamu kubwa Sana na sukuma gang ili wajaribu kutupa karata yao kumuondoa Samia na kundi lake. (Ndiyo...
  17. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  18. Mvua zisiponyesha miezi 2 au 3 ijayo bado viongozi wataendelea kutupa sababu zilezile? Ikiwa uwezo wao wa kufikiri ndipo ulipoishia basi we are doomed

    Huku mtaani kwetu tunaingia wiki ya 4 sasa tangu maji yakate, kipindi wanatangaza mgao tayari ulishaanza kimya kimya sehemu kibao za jiji la Dar. Nimekaa nawaza hapa, ina maana hawa viongozi wetu wamekaa wamerelax kabisa kwamba hawana la kufanya? Hivi hawaoni kwamba this is an emergency state...
  19. M

    Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

    Mzuka wanajamvi! Kesho jioni watu tutakuwa tumehakikishiwa ushindi mnono wa ndugu yetu William Ruto kuwa Rais wa Tano Kenya. Ruto atakuwa Rais kwa mihula miwili Hadi 2032. Na baada ya hapo makamu wake Rigathi Gachagua ataendelea mihula mingine miwili Hadi 2042. Wakati huo tumeshapeleka...
  20. K

    Ikiwa wabunge wanawake waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa mahakamani je wataendelea kuwa wabunge?

    Nchi hii inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu. Swali la kujiuliza. Je, ikiwa wale wabunge waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa Mahakamani wataendelea kuwa Wabunge mpaka hapo Mahakama itakapotoa uamuzi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…