Miaka ya huko nyuma kidogo watafiti mlituletea viazi karoti au viazi lishe, viazi hivi vilikuwa vya njano ndani na mlituambia vina ubora mkubwa kwenye lishe kuliko vilivyopo vya asili.
Lakini havikuchukua muda vikatoweka kwenye soko, baada ya kutoweka sijasikia mkijaribu kuvifufua, sijui sababu...