Kuna siku wanachama wa ccm watakapo jitambua kuwa:-
1. Watoto wao wamesoma wanazurura hakuna ajira.
2. Huduma za jijamii hazipo kulingana na mahitaji yao
3. Raslimali zipo ila zinamilikiwa na wachache
4. CCM ni familia ya watu wachache wanao ongoza mamilioni ya watu wasio na walio wanachama...