watalamu wa jadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaunara

    Ni kweli wataalamu wa Jadi wanatoa msaada katika Jamii au ni Utapeli?

    Wataalamu wa jadi wapo dunia nzima kila sehemu wapo. Katika maisha ya binadamu kuna mauza uza mengi sana. Kuna mda binadamu anashindwa kupata hata usingizi kutokona na mambo kuwa tight. Kila mmoja anajua ni jinsi gani anajua kutatua changomoto kama hizi wengine wanamalizia stress na pombe...
  2. Damaso

    Tuwaheshimu Watalamu wa Jadi

    Ilikuwa mwaka 2006 majira ya Jumamosi nipo zangu nyuma ya bweni nikishua shuka zangu mbili na sare za shule, pembeni nipo na redio yangu niliyopewa na Babu. Hapo ni kidato cha pili, kidogo swahiba wangu mkubwa sana alikuja mbio na kunipa taarifa kuwa Mwalimu Mkuu ananiita kwake, sio mbali...
Back
Top Bottom