watangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaizer Chiefs washindwana na Nabi. Watangaza kocha mkuu mpya

    Ni wazi kuwa dili la Nabi na Kaizer Chiefs limebuma. Kaizer Chiefs watangaza kocha mkuu mpya ====== Katika ukurasa wao rasmi wa mtandao wa Instagram, Timu ya Kaizer Chiefs wametanaza rasmi uteuzi wa Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu kuanzia sasa. Pia soma - Nabi na Kaizer Chiefs ngoma bado ngumu
  2. Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

    Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro. Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu. Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu.
  3. Kampuni za Uber na Tigo watangaza ubia wa kampeni ya kuwazawadi wateja wao wanaotumia huduma za Uber

    Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza ubia wakufanya kazi pamoja kwa muda wa mwaka mmoja wa kampeni ya kutoa zawadi kwa madereva na...
  4. Marumo watangaza kiingilio bure mechi yao ya marudiano dhidi ya Yanga

    Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee. Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga. Mimi kama shabiki nguli wa...
  5. JAY-Z na Jeff Bezos watangaza kuinunua Washington Commanders

    Jeff Bezos, 58, anaripotiwa kutaka timu ya Washington Commanders baada ya kufichuliwa kuwa wamiliki wake, Daniel na Tanya Snyder, walikuwa wakifikiria kuiuza. Wanandoa hao wamemiliki timu tangu 1999, lakini hivi karibuni wametangaza kuiuza timu hiyo yenye thamani ya dola bilioni 5.6...
  6. Marubani wa Kenya Airways watoa notisi ya mgomo

    Marubani wa shirika la ndege la Kenya Airways wanasema hawatarusha ndege kufuatia mizozo ya muda mrefu kati ya muungano wao na usimamizi wa shirika hilo. Marubani hao walidai kuwa madai yao mengi hayajatatuliwa, na hivyo wanaamua kuchukua uamuzi huo. Kwa mujibu wa notisi yao watagoma ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…