Wakuu,
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Watanzania 36 kulipa faini ya shilingi 30,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha miezi mitatu jela kwa kosa la kuondoka nchini Tanzania kinyume cha sheria na kuingia Afrika Kusini bila vibali halali.
Hukumu hiyo imetolewa Jumanne, Machi 11...