Kwa sasa, watengeneza maudhui wa Tanzania wamekuwa wakikabiliana na changamoto kadhaa zinazotokana na kutumia majukwaa ya kimataifa kama YouTube.
Mojawapo ya changamoto hizi ni sheria kali ambazo mara nyingi hazizingatii hali halisi ya soko la Tanzania na zinaweza kuwa kandamizi kwa wamiliki...