Huwezi kuwasikia wakihoji juu ya bajeti iliyopita kama itawaletea manufaa tena Maana sasa kila kona ni juu ya jamaa aliyetekwa na wasiojulikana.
Siku zote ni watu wa kufikiria mambo wanayoyaona kwa ukaribu. They are myopic in their minds. Wamesahau tayari juu Mgomo dhidi ya tozo na kodi...