Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani
Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi.
Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikani, zaidi ya ndugu...