Mazingira yanayowapa kipaumbele wanawake - Marekani / Ulaya mwanamke anatukuzwa sana, Huruhusiwi hata kumfinya ukijaribu tu polisi wapo mlangoni kesi ni domestic violence, Mnaweza kulewa wote lakini mwanamke ana haki ya kulalamika kabakwa kwasababu alikuwa hajitambui watu kibao ni wahanga wa...