Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu...
Ni vizuri kuwa diaspora ila kama huna kazi inayoeleweka huko au umeenda kinyemela na kupelekea kuishi kwa kubahatisha kiasi cha Cha kukosa makazi (homeless) hiyo ni hatari sana.
Katika kipindi hiki cha hali mbaya ya hewa huko hasa baridi kali kiasi kwamba baadhi ya majimbo yametangaza hali ya...