Wakuu,
Mtanzania Asha Makame Ally, aliyeelekea nchini Oman kupambania ndoto zake, amepatikana akiwa amefariki dunia nchini humo, ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, huku mwili wake ukigundulika siku nne baada ya kifo chake.
Mwili wa Asha upo hospitalini nchini humo, lakini kuna changamoto kubwa...