watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    WATANZANIA ELITES: Kabla ya kuja kwa internet, mgogoro wa Middle East mlipataje habari zake??

    Watanzania wenzangu elites wa Masaki na Oyster Bay, mlikuwa mnapata wapi habari za mzozo wa Middle East wa Israel na Palestine kabla ya Internet kuingia Tanzania?? Nimeuliza hivyo kwa maana Masaki na Oyster Bay ndio wanapokaa Think Tanks za nchi na sijasema kwa lengo la kuwakejeli au kutengezea...
  2. Kwanini kumeongezeka trend ya Watanzania kukamatika kirahisi katika utapeli na watu maarufu?

    Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara. Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa? Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
  3. K

    Dawasa msidangaye watanzania, shida ya maji bado ipo

    Ndugu zangu, nimesoma sehemu mhandishi huyu wa dawasa akidanganya. Pamoja na mvua zinazonyesha dsm kuna maeneo hakuna maji ikiwa ni pamoja na kinyerezi. Ndg waandishi wa habari popote pale mnaposoma huu ujumbe fikeni kinyerezi saranga mjionee, mpate habari za kukosekana maji yapata mwezi wanne...
  4. Watanzania Matajiri na wafanya biashara wakubwa ni maskini na ukitaka kujua kuwa ni maskini ingia kwenye hizo sehemu mbili

    Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana. Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo. Wengi wamekuwa wakifitiniana ili kujilinda na umaskini wao japo mnawaona kuwa kama kichwa cha habari. Wengi wapo kupigana na wewe.
  5. R

    Kwenu watanzania bara mlioomba TRA mjipange kisaikolojia ! Waombaji 135,027 nafasi 1,596 ukitoa nafasi 20 % za wazanzibari, mchuano ni mkali sana !!

    Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi WAOMBAJI - 135,027 Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027 NAFASI - 1,596 20 % kwa Wazanzibar - 319 80 % kwa Bara - 1,277 CHANCE YA KUPATA KAZI Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000) Wabara - 1 kwa...
  6. Ona baadhi ya mambo yetu tunavyofanya ki vyetu vyetu

    1.Ukifanya harusi bila kuchangisha mtu kosa rafiki zako watakasirika na wengine hawatakuja hata kama umeamua kugharamia mwenyewe kila kitu. 2.Watu wanachanga harusi budget kubwa inakuwa kwenye pombe kuliko chakula wengine wanasema kama ni chakula atanipikia mke wangu mimi nataka pombe ambapo...
  7. Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503

    Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503 ni wageni sawa asilimia 2.5 ya ajira zote zilizozalishwa. Vilevile, Jumla ya bidhaa zenye thamani ya Dola za Marekani (USD) 3,780,161,183.28 ziliuzwa...
  8. LA LIGA EXPERIENCE kuwapeleka watanzania Uhispania

    Picha ikimuonesha mshindi Peter Nyamayo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Schiphol, Amsterdam nchini Uholanzi. Pamoja naye yupo Rajab Chingongo ambaye pia ni mshindi wa shindano la AzamLiga lililowapa nafasi ya kushiriki La Liga Experience kutazama mchezo kati ya Villarreal dhidi...
  9. THRDC waunga mkono na kuifafanua kwa ufasaha movement ya Watanzania ya NO REFORMS, NO ELECTION inayoongozwa na CHADEMA

    https://youtu.be/cQ8my9Fu7jU?si=8G2_TzDMHKYELqgD ➡Huyu hapa ni Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya kiraia ya kulinda na kutetea haki za binadamu - Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) Bwana Onesmo Olengurumwa akifafanua dhana dhima ya kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya kikanuni...
  10. Dada Maria Sarungi Watanzania tunajuana kwa Mambo yetu, ila hatujafikia Kuhatarishiana Usalama pale tunapopatwa na Misiba. Umekosea sana Dada..!!

    Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye ni Mtoto wa marehemu Prof. Philemon Sarungi amesema miongoni mwa sababu iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake ni pamoja na Suala zima la Usalama wake. Maria amesema hayo leo Machi 10, 2025 wakati alipotoa salaam kwa njia ya mtandao wakati wa...
  11. F

    Mheshimiwa rais usitumie mabilioni ya maskini Watanzania kushinda uchaguzi au kujitetea pale unapokosea

    Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk. Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
  12. Naipongeza CCM kwa kufanikiwa kuwapangia Watanzania cha kujadili

    Wiki hii tumepangiwa kujadili mambo ya simba na yanga na hii ni sehemu zote si vijiweni si ofisini, barabarani, wala hospitali. Kwenye mikusanyiko yote rasmi na isiyo rasmi story kuu ni hizi timu za CCM. CHADEMA mna safari ndefu sana, hii ndiyo nchi yenu ndiyomaana yule mzee akaona awaruhusu...
  13. WACHOKONOZI: Watanzania wasusie mechi zote za Taifa Stars

    Kupitia video yao ya leo vijana hawa wametoa wito kwa watanzania kususia mechi zote za timu ya taifa maana TFF inawachezea akili. Akikazia zaidi, mchokonozi mmoja anayefahamika kama Joseph Mrindoko amesema kuwa viongozi wa TFF ni Wasen.g.e. Anzia dakika ya 5:20. Ni upi mtazamo wako...
  14. Akili za watanzania zipo kubishana na mawazo ya teknolojia ila ndio wao wao wanazitumia

    Kuna siku nipo mtaani nakutana na msemaji wa kijiwe cha kahawa.Maana kwenye vijiwe vya kahawa kuna wasemaji ijalishi akili yako ikoje kikubwa kuwazidi uwezo kuongea. Mada aliyokuja nayo anasema wazungu ni waongo sana wanadanganya kila kitu.Sasa cha kujiuliza hapo hapo kijiwe cha kahawa kuna...
  15. Hivi hii kamati ya maridhiano ya kitaifa inataka watanzania turidhiane kuhusu mgogoro gani?

    Kiukweli binafsi sielewi hii kamati ina umuhimu gani kwa taifa hili naona kama ni kajitaasisi ulaji kameundwa ili kulinda maslahi ya watu Fulani hivi. Watanzania tunataka kuridhiana kuhusu kitu gani?
  16. Kwanini Dola ya CCM hukubali Siasa za Makundi, Kuwaondolea Watanzania Viongozi wazelendo, wachapakazi Kwa hoja ya "Ana Makundi"?

    Ukweli ni kua Mbingu na Ardhi ni vitu viwili tofauti . Uovu na Wema ni vitu viwili tofauti . UZALENDO na kutokua mzalendo ni vitu viwili tofauti. Hata hivo Licha ya utofauti huo, ukweli ni kua Kila kimoja wapo nyuma yake kuna Wafuasi wengi . Hamna kitu kinaitwa huyu yupo katikati, Hana...
  17. Waziri wa Kazi Ridhiwani Kikwete - Ajira kwa Vijana Watanzania na Ukiritimba wa Wachina

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete, Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
  18. Nimemshangaa sana aliyesema hapa JF kuwa Waziri Ulega hajui Kiingereza na katutia Aibu Watanzania kwani amejitahidi na kueleweka vyema tu

    Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa nawashangaa sana Watanzania tunaacha Kujivunia lugha yetu adhimu na pendwa Afrika na Duniani kwa sasa ya...
  19. Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  20. Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…