watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kutoa ultimatum kwa watawala, bila Katiba Mpya ya wananchi hakuna uchaguzi

    Ifike wakati Watanzania tutoe amri kwa watawala kwamba kama hakuna katiba mpya, hakuna uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2024, wala uchaguzi mkuu mwaka 2025. Nchi hii ni ya Watanzania. Watanzania ndio wanaotakiwa kuwa na maamuzi ya namna gani wanataka nchi yao ifanye kila kitu. Katiba hii...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji zaidi kutoka China kuleta kuwanufaisha watanzania na uchumi wa Tanzania

    Mwishoni mwa mwezi Aprili mamlaka za Tanzania ziliualika ujumbe wa wafanyabiashara kutoka China kutoka mkoani Guangdong nchini China kwa lengo la kufahamisha fursa za uwekezaji nchini Tanzania, wakati Tanzania ikiendelea na utekelezaji wa ajenda ya maendeleo ya viwanda. Mamlaka hizo ziliualika...
  3. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania

    Teuzi za raisi samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Kassim mpingi Rufiji -pwani Duniani kote teuzi za kisiasa huwa na kazi kuu mbili, kazi ya kwanza ni shukran kwa kiongozi kwa waliomsaidia ushindi na kazi ya pili kudhibiti mamlaka ya...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

    UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za gesi asilia na madini katika bara la Afrika na duniani. Hili linathibitishwa na mifano mingi ya madini yenye thamani kubwa yanayopatikana katika mikoa mingi nchini, kama vile dhahabu, Tanzanite, almasi, chuma, nikeli, makaa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini Rushwa ni kikwazo cha Haki na inachangia kutokuwepo kwa Usawa

    Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na inaathiri maeneo mbalimbali, ikiwemo sekta ya umma, miundombinu, afya, elimu, na biashara. Hali ya rushwa nchini inaweza kuelezewa kama changamoto inayosababisha ukosefu wa uwazi, upendeleo, na matumizi mabaya ya rasilimali za umma. Rushwa inapunguza...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe serious misibani

    Nimekuja hapa msibani Mbeya Isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani Hivi ndio nini sasa hii
  7. JamiiForums Tanzania Licha ya kuwepo kwa madini ya kutosha, bado mwamko wa Watanzania kuijua JamiiForums ni mdogo

    Tangu nijiunge rasmi JamiiForums kiukweli sijawahi jutia, lakini bado watu wengi hawaijui. Yaani unaweza pita mtaani kati ya watu kumi utaowauliza ni mmoja tu ndo anayeijua, mwingine anakwambia "ndo nini hiyo". Mpaka sasa, hata posts tu hazifikii idadi ya watanzania maana posts zipo 43 million...
  8. JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo umewafumbua macho Watanzania. Mnatakiwa kugoma kwa uonevu wa CCM unaoendelea sasa

    Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa. Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo. Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
  9. JamiiForums Tanzania Inabidi itumike akili gani kuwaelezea watanzania kwamba vita ya Ukraine na Russia sio ya kuishabikia?

    Habari kwa wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kwa watanzania wengi (nitasema wengi licha ya kwamba sijafanya utafiti ila naona kwa ninachokumbana nacho mtaani inawezekana wengi wana mawazo hayo hayo) wanaivalia njuga vita inayoendelea baina ya mataifa mawili ambayo kiasili...
  10. JamiiForums Tanzania India yatoa msamaha wa kulipa faini kwa Watanzania waliokwama kurudi nyumbani

    Balozi wa Tanzania Nchini India, Anisa Mbega ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu msamaha uliotolewa kwa Watanzania baada ya mazungumzo maalum yaliyofanyika pamoja na Serikali ya India kwa kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya India. Balozi Mbega anasema “Ubalozi kwa kushirikiana na Mamlaka...
  11. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi. Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka watanzania wanaamua kusoma albadiri kwa wezi serikalini tunaelekea wapi kama taifa

    Nimetafakari sana juu ya uamuzi wa wananchi wa Tanga kuandaa kisomo maalum kwa ajili ya viongozi na watendaji serikalini walioguswa kwenye ripoti ya CAG. Mbali na watu wa Tanga kuamua kufanya dua maalum kwa kina Mwigulu, Makame Mbarawa, Januari na wakubwa wengine waliotajwa na CAG. Pia yuko...
  13. JamiiForums Tanzania Utahira wa Watanzania

    Jamani hii tabia ya Watanzania na ufala unakuta mtu ana simu ya milioni mbili au anatembelea gari la mil 50 na saa ya milioni na designer suti ya million 5 na anatoka cafe kunywa kahawa ya elf 10 then anamsimamisha Muuza karanga anaomba ya mia 500 then analalamika kapunjwa???😡😡😡 kweli uyu dogo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je watanzania tunahitaji nini? tunafikiria na kuwaza nini? nini hatma ya nchi yetu kama mali tunazo, ardhi tunayo, je ni lini tutaondoka na kero.

    Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana wafanyabiashara wa Kariakoo na nchi nzima, mmetuonesha njia Watanzania

    Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa (professionalism) kwa jinsi mlivyowasilisha na kudai ufumbuzi wa kero zenu mbele ya serikali. Mmekuwa wazi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Lini Watanzania watajijengea utaratibu wakujiuzulu?

    Unaongoza watu, unaowaongoza wanakukataa adharani. Unaendelea kubaki ofisini ukisubiri hadi utumbuliwe kwa faida ya nani? Nchi zilizo serious ukilalamikiwa tu unakaa pembeni kwetu unang'ang'ana na ofisi for what....
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania sio watu wa kudanganyika tena. Kifo cha Membe ni uthibitisho kuwa sasa hakuna utapeli

    Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari na wasafisha viatu wakawa mabilionea kwa wizi wa mali za umma. Nani amesahau Salva Rweyemamu...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yasema idadi ya magonjwa ya ngono imeongezeka pia watu 1,612,52 wanatumia ARV’s Nchini Tanzania

    Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya Dondakoo, Kifaduro, Kupooza, homa ya ini na homa ya uti wa mgongo, ambayo hutumika...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu

    Watanzania maskini na wa hali ya Kati Km mie kwanini mnapenda kushobokea matajiri au watu wanaopiga hela ambao hawakusaidii hata kidogo? Naona mamilioni mnaowafuata Insta wenzenu wanapiga pesa za matangazo cjui promo cjui ubalozi nyie hamuambulii hata mia zaidi ya kupoteza bundle tu ambazo...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo Afrika Kusini wanafanya shughuli gani hasa?

    Nini shida huko bondeni idadi kubwa ya misiba ya vijana wa kitanzania. Nipo kwenye group hili la mabaharia naona vifo ni vingi sana watu wanaripoti mara kwa mara sasa vijana wadogo sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…