1. Kipo kikundi kinajiita Royal Family.
2. Jamaa Wana ukwasi sio poa. Kwa namna wake zetu walivyo macho juu na tamaa aisee hii ni hatari tupu - WADHIBITIWE
--Chief Godlove, Lugumi Undeni group la Kanda ya Ziwa na Nyanya za juu kusini na Utajiri wetu wa Mazongezonge