Mtu asiyefahamika ameingia nyumba ya watawa wa Shirika la Veronika lililopo Soweto, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na kuiba vikombe vya kuwekea komunyo (siborio).
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kutokana na uzembe uliofanyika...