Kujisahihisha na kuchukua uelekeo sahihi na makini ni Jambo la kiugwana.
Vijana wa Tz wanapotoshwa sana, maisha sio rahisi ki hivyo sio kila mmoja awe mfanyabiashara, tunaharibu taifa kwa kuongeza utawanyo bidhaa na sio uzalishaji. (Machinga economy) Serikali iwezeshe vikundi na wachache miradi...