Leo ITV imeonyesha tendo la ajabu sana ndiyo sababu watu wengine tunaamua kuangalia tv za nje tu.
Haiwezekani tv ambayo imasema kuwa ni super brand afrika mashariki ifanye mambo kwa kukurupuka bila ratiba .
Nilikuwa naangalia Al jazera tv kupitia itv gafla saa 6.15 wanakatiza matangazo na...