wateja wa dstv

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. casperdanielle

    Dstv wanapaswa kutujali wateja wao. Nmelipa king’amuzi mwezi sasa unaisha lakini kila nikiwasha niangalie naambiwa bad weather

    Dstv wanapaswa kutujali wateja wao. Nmelipa king’amuzi mwezi sasa unaisha lakini kila nikiwasha niangalie naambiwa bad weather na jua hili kali la dodoma bad weather inatoka wapi mwezi mzima? Nimeleta mpaka fundi ananiambia hakuna tatizo channel moja tu ya supersport blitz ndo inaonesha swala...
  2. Jamaa Fulani Mjuaji

    Kwanini DSTV wasituache wateja tujichagulie app za kuangalia tuzilipie?

    Mimi ni Mdau mzuri sana wa Movies na Series za Nje Hasa za KIMOMBO" na mpira hayo ndio mambo Yangu. Nimekua mtumiaji wa DSTv Kwa miaka mingi tu lakini maboresho ya hapa karibuni miaka kama 5 Yanaumiza sana unalipia kifurushi cha COMPACT kwa mfano unakuta wamekujazia machannel ambayo wewe sio...
Back
Top Bottom