Mimi ni Mdau mzuri sana wa Movies na Series za Nje Hasa za KIMOMBO" na mpira hayo ndio mambo Yangu.
Nimekua mtumiaji wa DSTv Kwa miaka mingi tu lakini maboresho ya hapa karibuni miaka kama 5 Yanaumiza sana unalipia kifurushi cha COMPACT kwa mfano unakuta wamekujazia machannel ambayo wewe sio...