Wanaukumbi.
Jeshi la Israel limethibitisha kwa mara ya kwanza habari zilizoripotiwa na Channel 12: mateka Ron Sherman, Nick Beizer, na Elia Toledano waliuawa kutokana na mashambulizi ya 'IDF'.-Kiebrania Ch.12
NETENYAHU kachanganyikiwa atawamaliza Mateka wake ambao alijitapa anaenda Rafah...