Kabla ya kijazi interchange eneo hili lilikuwa linaruhusu wananchi (wanafunzi/wakazi/watembezi na sisi wazururaji) kuvuka kutoka upande mmoja hadi mwingine bila shida. Ila baada ya kuwekwa flyover uwezo huo umeondoshwa na option iliyokuwepo kwa watu hap ni ya hatari sana.
Nafahamu kuondoa wavu...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea.
TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba Wakorea itakuwa ya kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa...
Habari za usiku wakubwa.
Naomba Tanroads kwa kushirikiana na NSSF waangalie namna nzuri kwa wakazi wa darajani wakati wa kuvuka barabara kwenda upande wa pili baada ya kushuka kwenye daladala.
Kama umetembelea daraja la kigamboni au ni mkazi wa darajani utakuwa unalifahamu ili swala.
Hakuna...
Katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani 2024.
Tuitumia wiki hii kuwalinda watu wanaotembea kwa miguu katika njia maalumu zilizotengenezwa kwa ajili ya wao kutembea kwa uhuru.
Maana wapo boda boda na baadhi ya bajaji ambao sio wastaarabu huacha njia zao na kutumia njia maalumu...
Magari ya Mwendokasi yakwenda spidi mno lakini sasa yapo katikati ya Jiji. Watoto, watu wenye ulemavu, wazee wote pia wanahiaji kutumia hizi barabara pia, hivyo binafsi ninge pendekeza mwendo usiwe spidi sana atleast 60 hivi.
Kwa sababu mabasi ya mwendokasi yakipunguza spidi yakiwa yanapita...
Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada.
Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao.
Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
Wakuu,
Leo ni zamu ya madereva kuwa kwenye kiti cha moto:D.
Medereva mnakwaza sana kwenye kipengele hiki. Mtu anaweza kukaa muda mrefu kwenye alama za kuvukia (zebra crossing) huku wenye vyombo vyao wanapita tu utafikiri hawaoni mtu. Tena ukiwa peke yako ndio kipengele zaidi, utakaa hapo...
Wakuu,
Ukiwa unatumia barabara unatakiwa uchukue tahadhari hata ukiwa kwenye sehemu ya kuvukia (zebra crossing).
Kuna watu wameshajiwekea nikipita kwenye zebra lazima chombo kisimame, kwahiyo yeye hajali chochote akifika kwenye zebra ni kuvuka tu. Anasahau kwamba mambo mengi yanaweza kwenda...
Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye vivuko vya Watembea kwa Miguu.
Unakuta barabara ina mifereji mikubwa ya Kupitisha maji na mifereji hiyo iko wazi haijafunikwa na hapo hapo kuna kivuko ambacho Mvukaji akishavuka hicho kivuko anakutana na Mfereji mkubwa kiasi kwamba hata Akiruka hawezi kuupita...
Mhe. Dorothy George
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Kwa kushirikisha na TARURA -Temeke 25/01/2022, wameanza Operesheni ya kuvitambua Vivuko Vya watembea Kwa Miguu vivilivyoko ndani ya Maeneo ya Wakazi wa Jimbo la Temeke Kwa ajili ya kuandaa Mpango Maalumu wa kujenga Vivuko Vya kudumu ili kupunguza...
Habari wadau,
Zoezi la kuhamisha wamachinga waliokuwa wameziba njia za watembea kwa miguu lilifanyika kwa malengo mengi ikiwa ni pamoja na watembea kwa miguu kupata njia za kupita. Wenye magari nao walikuwa walalamikaji wakubwa juu ya kero hiyo ya wamachinga kuziba barabara.
Baada ya zoezi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.