Wakuu,
Leo ni zamu ya madereva kuwa kwenye kiti cha moto:D.
Medereva mnakwaza sana kwenye kipengele hiki. Mtu anaweza kukaa muda mrefu kwenye alama za kuvukia (zebra crossing) huku wenye vyombo vyao wanapita tu utafikiri hawaoni mtu. Tena ukiwa peke yako ndio kipengele zaidi, utakaa hapo...